1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S27 Aprili 2018

Kansela wa Ujerumani anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku moja nchini Marekani leo kukutana na rais Donald Trump// Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, anatazamiwa hivi leo kuizuru kwa mara ya kwanza Korea Kusini, ambako atakuwa na mkutano na mwenyeji wake, Moon Jae-in.

https://p.dw.com/p/2wljR