1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Aprili 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema leo kwamba Uingereza isiishi katika ndoto za kufikirika, kwamba itakuwa na haki zilezile kama wanachama wa umoja wa ulaya baada ya kujitoa katika umoja huo// Marekani imeahidi kuongeza mbinyo dhidi ya Korea Kaskazini, kuilazimisha kurejea kwenye meza ya mazunguzo kuhusiana na programu yake ya nyuklia.

https://p.dw.com/p/2c0PQ