1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.04.2017 Matangazo ya Asubuhi

V2 / S12S27 Aprili 2017

Kuna mengi yaliyojitokeza katika kura za mchujo zinazoendelea nchini Kenya wakati nchi hiyo ikikaribia kufanya uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu// Zaidi ya nusu ya raia wa Ufaransa waliopiga kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi hawakumchagua Emmanuel Macron au Marine Le Pen// Marekani na Korea Kusini zimezidisha kasi ya kuweka nchini Korea Kusini mifumo ya kukinga makombora.

https://p.dw.com/p/2c0uh