1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.02.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Februari 2018

Mwito wa kusitishwa mapigano kwa masaa matano uliotolewa na Urusi hapo jana, katika eneo linalodhibitwa na waasi nchini Syria la Ghouta Mashariki, karibu na Damascus, ili kuruhusu raia kuondoka kwenye eneo hilo, umeanza kutekelezwa// DRC- Mahakama ya kijeshi imemuhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliefyatua risasi na kumuuwa mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila.

https://p.dw.com/p/2tPL4