Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimelaani vikali juu mwenendo wa hali ya kisiasa unaoendelea nchini humo na kuutaja uchaguzi wa mdogo wa hivi karibuni kama uchaguzi uliotawaliwa na mazingira yenye utata// Nchini Kenya spika wa bunge la taifa ametupilia mbali malalamiko rasmi yaliyowasilishwa kwake kwa lengo la kuwatimua Jaji Mkuu David Maraga na naibu wake Philomena Mwilu.