1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.07.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S26 Julai 2017

Jumuiya ya Afrika Mashariki imesema baadhi ya shughuli zake zimekwama baada ya bunge la Jumuiya hiyo, EALA kushindwa kuanza vikao vyake// Makubaliano yalipatikana hapo jana baina ya Misri na Umoja wa Ulaya, kuhusu namna pande hizo mbili zitakavyoshirikiana katika sekta mbali mbali, zikiwemo masuala ya kiuchumi, kurejesha utengamano na kupambana na ugaidi.

https://p.dw.com/p/2h9QU