1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.06.2017 Taarifa ya habari asubuhi

26 Juni 2017

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi yuko Marekani ambapo atafanya mkutano wake wa kwanza na Rais Donald Trump // Polisi ya Uturuki yatumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyavunja maandamano ya mashoga mjini Istanbul // Na Ujerumani yatinga nusu fainali ya dimba la Kombe la Mabara linaloendelea nchini Urusi

https://p.dw.com/p/2fMQ0