1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.03.2017 Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

26 Machi 2017

https://p.dw.com/p/2Zypg

Baadhi ya yaliyomo kwenye habari za ulimwengu:

Kiongozi wa upinzani Urusi Alexei Navalny akamatwa pamoja na baadhi ya wafuasi wake kwa kuongoza maandamano ya kushutumu ufisadi.

Idadi ya Wajerumani waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa jimbo dogo la magharibi la Saarland yaizidi idadi ya waliojitokeza katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2012

Iran kuziwekea vikwazo kampuni 15 za Marekani zinazounga mkono hatua za Israel inazotaja kuwa za kigaidi.