1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S25 Novemba 2016

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria jana alisema rais wa Marekani Barack Obama anaweza kuendelea kufanya kazi hadi katika siku yake ya mwisho madarakani kumaliza vita vya Syria//Vikosi vya wazima moto vinaendelea kupambana na moto mkali uliozuka katika mji wa Haifa mji mkuu wa tatu nchini Israel.

https://p.dw.com/p/2TElu