1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S25 Novemba 2016

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametishia kuwa huenda akafungua mpaka wa nchi yake ili kuwaruhusu wahamiaji kufika katika mataifa ya Umoja wa Ulaya//Kongamano la vijana kutoka mataifa mbali mbali duniani yakiwemo Colombia, Sudan, Nepal na Tanzania lilioandaliwa na chama cha umoja wa mataifa cha Ujerumani mjini Bonn Ujerumani limekamilika hii leo.

https://p.dw.com/p/2TGy7