Ikiwa ni mwaka mmoja umeshatimia tangu Uturuki na Urusi zilipotumbukia katika mvutano na kuyumba kwa uhusiano kati yao// Uchaguzi wa bunge nchini Somalia ambao ulianza tangu mwezi uliopita na unaotarajiwa kukamilika wiki ijayo, una mapambo ya demokrasia lakini demokrasia halisi ndani yake ni kiduchu tu.