Rais wa Mahakama ya Juu nchini Kenya, Jaji David Maraga ameahirisha kikao cha kusikizwa kwa kesi iliyowasilishwa kupinga kufanyika kwa marudio ya uchaguzi wa urais// Serikali ya Tanzania imelifungia kwa siku 90 moja kati ya magazeti maarufu nchini humo, Tanzania Daima// Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rex Tillerson yupo ziarani nchini India.