1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.10.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S25 Oktoba 2016

Watu 12 wameuawa kufuatia mashambulizi katika nyumba moja ya wageni mjini Mandera, Kenya// Nchini Tanzania leo umetimia mwaka mmoja tangu wananchi waliposhuka vituoni kupiga kura// Shirika la kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema maafisa wa Uturuki wanakiuka haki za binaadamu.

https://p.dw.com/p/2Rfpv