1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2017 Taarifa ya Habari Asubuhi

25 Agosti 2017

Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Ujerumani Sigmar Gabriel amesema Uturuki haitawahi kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya chini ya Recep Tayyip Erdogan// Polisi nchini Italia wamepambana na wakimbizi waliokuwa wamepiga kambi katikati mwa mji mkuu Rome // Na Tume ya uchaguzi Angola imesema chama tawala kimeshinda uchaguzi na Joao Lourenco atakuwa rais mpya wa nchi hiyo

https://p.dw.com/p/2io1P