1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Agosti 2017

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, wiki hii alimteua Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU)// Suala la mishahara ya wabunge limerejea tena midomoni mwao baada ya kutishia kususia vikao na kukwamisha shughuli iwapo hawatalipwa kiwango cha muhula uliopita.

https://p.dw.com/p/2irdU