1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.02.2017: Matangazo ya mchana

Mohammed Dahman25 Februari 2017

Ikulu ya Marekani yavizuia baadhi ya vyombo vya habari vikubwa nchini humo kuingia kwenye mkutano wa waandishi wa habari, mgombea wa urais nchini Ufaransa Francois Fillon anaweza kufunguliwa mashitaka na Irani yatekeleza kwa mafanikio mpango wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/2YF7n