1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.02.2017: Matangazo ya Jioni

Mohammed Dahman25 Februari 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aitaka Ujerumani kutimiza jukumu lake la kuiwezesha kifedha Jumuiya ya Kujihami, NATO. Waziri mkuu wa Saudi Arabia, Abdel al-Jubeir afanya ziara ya nadra nchini Iraq na Maelfu ya raia wa Ufilipino wameandamana kumpinga rais wa nchi hiyo Rodrigo Duterte na hatua zake kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya.

https://p.dw.com/p/2YFqI