1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S25 Januari 2017

Ripoti kuhusu rushwa ambayo imetolewa na shirika la Transparency International imeonyesha nchi za Afrika mashariki zikiwa bado katika nafasi za nyuma sana// Viongozi wa chama tawala cha Jubilee wamekanusha madai ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwamba shirika la ujasusi nchini humo linashirikiana na Tume ya Uchaguzi IEBC kuwasajili raia wa kigeni kutoka nchi jirani kama wapiga kura.

https://p.dw.com/p/2WObG