1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Novemba 2017

Emmerson Mnangagwa ameapishwa muda mchache uliopita kuwa rais mpya wa Zimbabwe// Makundi tofauti ya upinzani nchini Syria yametangaza makubaliano mapema leo ya kuutuma ujumbe wa pamoja katika mazungumzo ya Amani wiki ijayo jijini Geneva, yanayoongozwa na Umoja wa Mataifa. Hayo ni wakati juhudi za kimataifa za kidiplomasia zikiimarishwa ili kuumaliza mgogoro wa Syria uliodumu miaka sita.

https://p.dw.com/p/2oBz7