Tunaelekea Zimbabwe tukijikita na mwanasiasa anayeatarajiwa kuwa mrithi wa Mugabe, Emmerson Mnangagwa aliyefukuzwa kazi kama Makamu wa kusababisha mgogoro ulioibuka hivi sasa// Robert Daniel Mugabe alijaribu kila njia za kuchelewesha kuondoka kwake madarakani, akajichimbia, akakaidi ushauri aliopewa, lakini hatimaye alilazimika kusalimu amri na kutangaza kuondoka kwake.