1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S24 Oktoba 2016

Viongozi wa Ufaransa wameanza zoezi la kuwahamisha maelfu ya wahamiaji kinyume na sheria waliokuwa wamekusanyika katika eneo la karibu na mji wa kaskazini wa Calais// Vikosi vya Iraq vimefanikiwa leo kuchukua udhibiti wa vijiji viwili vilivyo karibu na mji wa Mosul // Tanzania na Morocco kwa mara ya kwanza leo zimetiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika maeneo 22.

https://p.dw.com/p/2RePz