1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.05.2016 Matangazo ya Asubuhi

Nina Markgraf24 Mei 2016

Uturuki: Mkutano wa kilele wa kujadili hali ya kibinadaamu mjini Istanbul/ Wachambuzi: Mpango wa Kenya kuifunga kambi kubwa kabisa ya wakimbizi duniani huenda ukawa jaribio la kutaka msaada zaidi wa kimataifa na vile vile hatua ya “kijinga” ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao// Mkutano kati ya Chama Mbadala kwa Ujerumani AfD na kiongozi wa kundi la Kiislamu hakumalizika kwa amani

https://p.dw.com/p/1ItQH