1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Machi 2017

Afisa wa juu wa kupambana na ugaidi mjini London, amesema Khalid Masood aliyeshambulia katika Bunge la Uingereza na kuwaua watu wanne na kuwajeruhi wengine 50 alizaliwa akiwa anaitwa Adrian Russel Aja// Rais wa Marekani Donald Trump amesema amehitimisha majadiliano kuhusu sheria ya kuuondoa mpango wa bima ya afya ya Rais wa zamani Barack Obama maarufu Obamacare.

https://p.dw.com/p/2Zu55