1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Machi 2017

Kansela Angela Merkel amethibitisha kwa mara nyingine leo juu ya msimamo wa Ujerumani wa kuunga mkono amani ya mashariki ya kati kwa kupatikana suluhu ya kuundwa madola mawil// Hosni Mubaraka, rais wa zamani wa Misri aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi na kupinduliwa mnamo mwaka 2011 katika mapinduzi ya umma, ameachiwa huru leo hii kutoka kizuizini baada ya miaka sita.

https://p.dw.com/p/2Zutb