1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.02.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Februari 2017

Shambulio la kuyatoa mhanga maisha, hujuma za mabomu ya vikosi vya serikali; dazeni kadhaa ya waasi wameuwawa nchini Syria// Afrika Kusini- Polisi wametumia magruneti ya kurushwa kwa mkono pamoja na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji katika jiji la Pretoria// Zaidi ya watu milioni 20 wameathirika na ukame unaoendelea katika eneo la Pembe ya Afrika.

https://p.dw.com/p/2YE0F