1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.01.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S24 Januari 2017

Uingereza-Mahakama ya juu imetoa hukumu yake katika kesi iliyowasilishwa kuhusu ni mhimili gani una mamlaka ya kuanzisha mchakato wa nchi hiyo kujitoa katika Umoja wa Ulaya//Addis Abab- Umoja wa Afrika umeanza mikutano katika makao yake makuu// Wasimamizi wa mazungumzo ya amani ya Astana, Urusi, Uturuki na Iran wamekubaliana kubuni mkakati wa kuendeleza mpango wa kuweka chini silaha nchini Syria.

https://p.dw.com/p/2WKKu