Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wametoa wito wa kuwepo amani nchini Kenya// Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amepeleka hoja ya utawala wa Rais Donald Trump kutaka kuitenga na kuidhibiti Iran katika kanda ya Mashariki ya Kati// Vyama tofauti katika jimbo la Catalonia vinatarajiwa kukutana leo Jumatatu.