1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.10.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S23 Oktoba 2017

Imesalia siku mbili kabla uchaguzi wa rais kufanyika upya nchini Kenya// Viongozi wa ngazi ya juu wa kundi la waasi la Popular Forces of Burundi, FPB waliokuwa wamekamatwa nchini Tanzania, wamerudishwa Burundi// Serikali ya jimbo la Catalonia nchini Uhispania inatarajiwa kukutana wiki hii.

https://p.dw.com/p/2mMjG