Waziri mkuu wa Uingereza bibi Theresa May ameyatetea mapendekezo yake kuhusu kudhaminiwa haki za raia wa umoja wa ulaya kuishi nchini Uingereza// Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua kuwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi nchini Kenya yatatolwa katika ngazi jimbo// Rais wa zamani wa Botswana, Ketumile Masire, amefariki dunia katika hospitali moja kwenye mji mkuu wa nchi yake, Gaborone.