1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.06.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S23 Juni 2017

Nchini Syria, wanajeshi yanayoungwa mkono na Marekani wanakaribia kuingia mjini Raqqa// Taarifa kutoka kwa wadadisi zilizotolewa Jumanne hii zinaeleza ongezeko la wimbi la propaganda za mitandaoni kunakofanywa kwa kiasi kikubwa na Urusi// Zimesalia siku mbili kabla ya tume ya uchaguzi nchini Kenya kuweka bayana idadi kamili ya wanaowania viti mbambali katika uchaguzi mkuu tarehe 8 Agostii.

https://p.dw.com/p/2fECN