1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.05.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S23 Mei 2018

Waandishi habari wa kimataifa walioalikwa na Korea kaskazini, wamekusanyika hii leo kushuhudia kuharibiwa kwa eneo la majaribio ya Nyuklia la taifa hilo// Tuzo ya Ujerumani na Afrika katika masuala ya uhifadhi mazingira kwa mwaka huu imekwenda kwa wanaharakati Gerald Bigurube kutoka Tanzania na Clovis Razafimalala kutoka Madagascar// Leo ni siku ya kimataifa ya kukomesha ugonjwa wa fistula.

https://p.dw.com/p/2yBLi