1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.05.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Mei 2016

Mkutano wa kilele wa kujadili hali ya kibinadamu duniani umeanza leo mjini Istanbul// Nchini Kenya wafuasi wa upinzani wanaendelea na maandamano ya kuishinikiza tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini humo IEBC ijiuzulu// Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanaendelea jijini Arusha// Rais wa Marekani Barack Obama yuko ziarani nchini Vietnam.

https://p.dw.com/p/1Iswz