1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.05.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Mei 2016

Polisi wa kupambana na Ghasia mjini Nairobi leo wameshinda mchana kutwa wakijaribu kuzuia makundi ya waandamanaji kuingia katikati ya mji// Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amekutana na kufanya mazungumzo na Imam mkuu wa msikiti wa Al-Azahr wa nchini Misri.

https://p.dw.com/p/1ItE9