Polisi nchini Ufaransa wamempiga risasi na kumuua mtuhumiwa aliyeshika mateka watu kusini mwa nchi hiyo// Nchi wanachama za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Urusi katika siku zijazo// Chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS kimesema kuwa kitafanya uchaguzi kwa sheria zilizochapishwa katika gazeti la serikali.