1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Machi 2017

Makundi ya upinzani nchini Syria yamekubali kushiriki katika duru mpya ya mazungumzo ya kutafuta amani ya nchi hiyo inayokumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka sita sasa// Suala la kura ya maoni kumpa mamlaka zaidi rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, limesababisha mvutano miongoni mwa jamii ya Waturuki nchini Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2ZnO1