Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimeituhumu ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini humo kwa kutumiwa na serikali kujaribu kukifuta chama hicho// Mamia ya wahamiaji wa kiafrika walioko kizuizini nchini Israel wameandamana siku ya alhamis pamoja na kuendelea na mgomo wa kutokula chakula wakipinga sera mpya ya Israel.