1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.02.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Februari 2017

Mazungumzo ya amani ya kutafuta suluhisho la kumaliza vita vya Syria yanaanza leo mjini Geneva// Ikulu ya Marekani imechelewesha kutangaza amri mpya za rais za kuchukua nafasi ya marufuku ya awali ya kuwazuia raia wa mataifa saba ya Kiislamu kuingia nchini humo// Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU imechapisha orodha ya wanafunzi zaidi ya 8,000 wa vyuo vikuu 52 nchini humo.

https://p.dw.com/p/2Y7u7