1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.12.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S22 Desemba 2017

Mtu mmoja ameuwawa leo Ijumaa katika Ukanda wa Gaza kutokana na maandamano zaidi yanayofanywa na Wapalestina ya kuipinga Marekani// Serikali ya Sudan Kusini na makundi ya waasi wametia saini makubaliano ya kusitisha vita// Baadhi ya wakulima wenye asili ya kizungu wameanza kurudi Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/2pqmN