1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S22 Desemba 2016

Wakati polisi wakiendelea na msako mkali dhidi ya washukiwa wa mashambulizi ya Soko la Krismas mjini Berlin yaliyouwa watu 12, vyombo vya usalama nchini Ujerumani vimekumbwa na ukosoaji mkubwa// Polisi nchini Tanzania imetoa rai kwa raia wa nchi hiyo, kusaidia kutoa taarifa kuhusu mahali alipo Ben Saanane// Takriban watu 34 waliuwawa na walinda usalama katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/2UiXK