1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.09.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Septemba 2017

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemuita Rais Donald Trump kuwa ni "ni mtu asiyeweza kufikiri sawasawa" na kusema atalipa gharama kutokana na kauli zake za vitisho anazotoa dhidi ya nchi hiyo// Kenya-baada ya Mahakama ya Juu kusogeza mbele uchaguzi wa taifa hilo ambalo ulipangwa kufanyika Oktoba 17 na sasa kupangwa ufanyike Oktoba 26.

https://p.dw.com/p/2kWi8