1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.09.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Septemba 2017

Kama ulivyosikia katika taarifa yetu ya habari Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wameingia katika vita vikali vya maneno ma kushutumiana huku kila mmoja akimuita mwenziye majina yasio na staha// Mwanasheria Mkuu nchini Kenya Githu Muigai ameipuuza hofu kuwa iwapo uchaguzi hutafanyika tarehe 26 mwezi ujao, itaundwa serikali ya mpito kuiongoza nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/2kYIU