Angola itafanya uchaguzi wa rais tarehe 23 mwezi huu// Nchini Kenya kwa sasa zingatio limeelekezwa katika rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais// Serikali barani Afrika zimeanza kuchukua hatua katika kufuatilia shughuli za uchimbaji madini zinazofanywa na makampuni ya madini kutoka nje.