1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.05.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Mei 2018

Waziri wa mambo ya nje wa mamlaka ya wapalestina Riad al Malki ameitaka mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za jinai ICC kuanzisha mara moja uchunguzi kuhusu madai ya uhalifu wa kivita pamoja na ubaguzi unaofanyiwa Wapalestina// Shughuli za masomo zimeanza kurejea katika shule ya msingi ya Nyakinyua huko Solai, Nakuru, Kenya, mojawapo wa shule zilizoathiriwa pakubwa na kupasuka.

https://p.dw.com/p/2y8WL