Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amejiunga na kikosi cha viongozi wa Afrika wenye njaa ya madaraka// Wiki ya ubunifu iliyoandaliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Ubunifu kwa Maendeleo ya Binadamu, HDIF, ambapo takriban vijana elfu mbili watashiriki// Mkutano wa kilele baina ya Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un umeanza kugubikwa na hali ya mashaka.