1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.03.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Machi 2018

Mzunguko wa fedha nchini Tanzania unatajwa kudorora miongoni mwa wananchi kutoka shilingi trilioni 3.8 kwa mwaka 2015 na kufikia trilioni 3.4 mwaka 2017 hii ni kutokana na kuathiriwa na serikali kuchelewa kuwalipa wafanya biashara wanaouza huduma na bidhaa serikalini

https://p.dw.com/p/2unbr