1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.03.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S22 Machi 2017

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Syria utafanya uchunguzi kuhusu madai ya kuuawa raia karibu na mji wa Raqa nchini Syria// Mwanachama maarufu wa chama cha Social Demokratic SPD na aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank Walter Steimeier leo ameapishwa kuwa rais wa Shirikisho la Jamuhuri ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2Zkjj