1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.03.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S22 Machi 2017

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kujadili uwezekano wa kuongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha Wanajeshi wa kulinda amani katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo MONUSCO// Mawaziri wa mambo ya ndani kutoka Umoja wa Ulaya na nchi za Afrika kaskazini zilizoko katika ukanda wa bahari ya Meditrenia wamekutana mjini Roma Italia.

https://p.dw.com/p/2ZhLS