1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S21 Novemba 2016

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ametangaza rasmi kwamba atagombea muhula wa nne katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani// Kwa mara ya kwanza, Kanisa Katoliki nchini Rwanda limeomba msamaha kuhusu nafasi yake kwenye mauaji ya halaiki// Jukwaa la Katiba nchini Tanzania limemtaka Rais John Magufuli kukamilisha mchakato wa katiba mpya haraka iwezekanavyo.

https://p.dw.com/p/2T0IM