1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S21 Septemba 2017

Nchini Kenya Maafisa wa tume ya uchaguzi ya IEBC wanashusha pumzi baada ya mahakama ya juu kuituhumu mifumo ya teknolojia na wala sio wao iliyopelekea uchaguzi wa rais wa Agosti kubatilishwa// Tarehe 21 Septemba kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya amani duniani.

https://p.dw.com/p/2kRu9