1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S21 Septemba 2017

Mshirika wa muda mrefu wa Rais Bashar al-Assad, Urusi ameruhusu kiongozi huyo wa Syria kupata tena udhibiti wa maeneo mengi ya nchi// Watu 10 wamefariki dunia mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku wengine 92 wakiwa hawajulikani waliko kufuatia mafuriko ya mto.

https://p.dw.com/p/2kQ57